Saturday, May 8, 2010










  1. Mashabiki wa Chelsea najua presha inapanda presha inashuka katika kumalizia mchezo wa mwisho dhidi ya Wigan lakini msihofu kombe lenu na Nawapa pole wale woote wanao iombea mabaya Chelsea mabaya nawaambia poleni sana yale mababa hayana cha utani iombeeni Wigani idadi ya magoli ipungue lakini la sivyo zaidi ya goli 5 zawasubiri Stanford Bridge Hongera Chelsea na washabiki wake wanao onekana mwisho wa msimu kutokana tu na Chelsea kwa sasa kalikalibia Kombe nawauliza walikuwa wapi mwanzo wa msimu

No comments:

Post a Comment