Saturday, May 8, 2010

Drogba huyoooo kwenye Kiatu Rooney yu wapi?


  1. Hivi ndivyo mwanaume alivyowafanya Liverpool, poleni sana Munchester najua ndio wanaoumia zaidi kuliko wenye timu salam kwa Rooney ole wake.... Chelsea inatarajia kuingia Uwanjani kesho ikiwa kamili kama kawaida Taarifa zilizotoka jioni hii zinasema jamaa hawa hawana majeruhi na Kesho ni kazi moja tu kuiangamiza Wigan

No comments:

Post a Comment