Sunday, August 1, 2010

UCHAGUZI

Habari Watanzaia mko poa kwa ajili ya Uchaguzi wakati huu ni wa Sisi kuwa makini kwa sababu Viongozi wana Heshima haoo yaani full kujaliana tuwemakini basi katika hilo nawatakia Watanzania wooooote UCHAGUZI huru na wa Amani Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.

No comments:

Post a Comment